Kwa nini maji yanayozunguka mabaki ya meli ya Titanic bado ni hatari

  • | BBC Swahili
    5,090 views
    Mabaki ya Titanic yapo ndani ya eneo linalojulikana kama "midnight zone" kwa sababu ni katika kina kirefu cha bahari chenye giza. Lakini eneo linalozunguka mabaki ya meli ya Titanic linatajwa kuwa ni hatari! Je hii ni kwasababu gani? Tazama #bbcswahili #Titanic #bahari Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw