kwanini ndoa ya Juma_jux na Priscilla imefungwa zaidi ya mara moja?

  • | BBC Swahili
    5,122 views
    Wawili hawa walifunga ndoa kwa mara ya kwanza Tarehe 7 Februari 2025, jijini Dar es Salaam kufuatiwa na ndoa ya Kimila na ndoa ya kisasa (white wedding) nchini Nigeria, na ndoa hizo ziliambatana na mfululiuzo wa shehere za kukata na shoka. Je ni kwanini wamekuwa na ndoa zaidi ya moja? @bosha_nyanje anaelezea #bbcswahili #tanzania #nigeria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw