Kwanini polisi walizingira kanisa la Askofu Gwajima Tanzania

  • | BBC Swahili
    125,107 views
    Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika kanisa la Askofu Josephat Gwajima lililopo jijini Dar es Salaam nchini Tanzania baada ya huduma za kanisa hilo kusitishwa na Mamlaka husika. Mwandishi wa BBC Humphrey Mgonja ametembelea kanisani hapo kujionea hali halisi. 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #tanzania #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw