Kwanini uswahiba wao umeingia doa

  • | BBC Swahili
    1,861 views
    Elon Musk na Donald Trump wameingia kwenye mvutano mkubwa wa kisiasa na kibinafsi, uliosababishwa na tofauti zao kuhusu mswada mpya wa matumizi ya serikali ya Marekani. Lakini je, nini kipo nyuma ya pazia? @sammyawami anaangazia vita hii ya maneno; 🎥 @brianmala - - #bbcswahili #siasa #trump #marekani #whitehouseSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw