Kwanini vikosi vya SADC vinaondoka DRC?

  • | BBC Swahili
    9,947 views
    Vikosi vya kijeshi Jumuiya ya maendelo ya mataifa ya Afrika Kusini SADC vinatarajiwa kuondoka mashariki mwa DRC kwa awamu, baada ya kikao cha dharura cha Marais kusitisha misheni ya kikosi chake cha kulinda amani maarufu kama SAMIDRC.