- 662 viewsviongozi wa vuguvugu la linda mwananchi Wanadai kuwa operesheni ya kuwakabili wahuni wanaovuruga mikutano ya kisiasa na kujeruhi watu imengiliwa kisiasa. viongozi hao waliofika katika makao makuu ya upelelezi wa jinai kutafuta majibu kuhusu baadhi ya wafuasi wao kukamatwa wanasema kuwa walawindwa na DCI ilhali wahuni halisi ambao wanajulikana hawajakamatwa. aidha wanashinikiza kikosi maalum kinachoendesha operesheni huko Kisumu kiondolewe.