- 228 viewsDuration: 3:21Ukame na makali ya njaa yakiathiri maeneo mengi ya kaskazini mwa nchi, wanafunzi wa shule za sekondari za kutwa katika kaunti ya samburu wamepata afueni kufuatia kuzinduliwa kwa mpango wa usambazaji wa chakula shuleni. Akiongoza uzinduzi huo, Waziri wa jinsia Hanna Cheptumo, amesema hatua hiyo itawasaidia wanafunzi wafugaji kukata kiu ya elimu. Bonface Barasa anaarifu zaidi.