Lita 2,000 za maji ya matumizi katika shule ya Munyeki kaunti ya Nyandarua zadaiwa kuwa na sumu

  • | Citizen TV
    124 views

    Hali ya wasiwasi imetanda katika shule ya msingi ya munyeki eneo la Ol-Kalau kaunti ya Nyandarua baada ya lita elfu mbili za maji yanayotumika kuandaa chakula cha wanafunzi kushukiwa kuwa na sumu.