M23 wasema rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila ameenda Goma

  • | BBC Swahili
    47,852 views
    Waasi wa M23 huko mashariki mwa DRC wanasema kuwa rais wa zamani wa taifa hilo Joseph Kabila amewasili mjini Goma. Hii imetokea siku chache tu baada ya bunge la seneti kumuondolea kinga Kabila ili aweze kushtakiwa.