- 492 viewsMashambulizi ya angani yaliyofanywa na Israeli Jumanne yameuwa Wapalestina wasiopungua 17 katika kambi mbili zilizo kuwa za kwanza kuanzishwa katika Ukanda wa Gaza na vifaru vya Israeli viliingia ndani zaidi ya eneo finyu la mji wa Rafah ulioko kusini, wakazi na wafanyakazi afya walisema. Maandalizi ya Mazishi yakiendelea katika Hospitali ya AL-Aqsa Martyrs huko Deir AL-Balah, Gaza, ambapo familia kadhaa zilipoteza wapendwa wao katika mashambulizi ya angani yaliofanywa na Israeli. Wakazi wameripoti mashambulizi ya mabomu yenye nguvu yanayofanywa na vifaru na ndege kadhaa katika maeneo kadhaa ya Rafah, ambapo zaidi ya watu milioni moja walikuwa wamekimbilia kutafuta hifadhi kabla ya mwezi Mei. Wengi kati ya watu hao wamekimbilia kaskazini tangu wakati huo wakati majeshi ya Israeli yalipokuwa yakivamia mji huo. Tangu Hamas ilipofanya shambulizi Oktoba 7, mashambulizi ya Israel huko Gaza yameuwa zaidi ya Wapalestina 37,400, kulingana na maafisa wa afya wa Gaza. Hamas inayoongozwa na watu wenye silaha imeua takriban watu 1,200 na kuwateka watu zaidi ya 250 katika uvamizi wa Oktoba 7 waliofanya ndani ya Israel, kulingana na hesabu iliyojumlishwa na Israel. -Reuters #Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #kufrdan #jenin #wanamgambo #wapalestina #jeshi #israel #Deiralbalah
Maaandalizi ya mazishi katika Hospitali ya AL-Aqsa Martyrs
- 15 May 2025 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has unveiled his much-anticipated political outfit, the Democracy for the Citizens Party (DCP).
- 15 May 2025 - Police are investigating the killing of a taxi driver, Samuel Mwangi, whose body was discovered in a thicket in Machakos.
- 15 May 2025 - The petition, filed as Bench Petition No. E565 of 2024, was scheduled for May 15, 2025.
- 15 May 2025 - The Environment and Land Court in Garissa has issued temporary orders halting any new settlements or expansion activities along a disputed three-mile strip at the boundary between Tana River and Garissa counties. This directive follows a petition filed…
- 15 May 2025 - By the time of his death and burial on July 15, 2005, the son was eight years old.
- 15 May 2025 - In a historic first, Makueni County has achieved a breakthrough in healthcare after local doctors at the Makueni County Referral Hospital have successfully conducted the first brain tumour surgery, an achievement many once thought could only happen in…
- 15 May 2025 - Kenya is currently looking for investors in its aging electrical infrastructure.
- 15 May 2025 - Nandi County Senator Samson Cherargei has opined that Kenya's opposition's expected launch of a new political faction will not successfully topple President William Ruto from power.
- 15 May 2025 - Kenya is among 59 nations that are expected to benefit from the deal.
- 15 May 2025 - On Wednesday, Nairobi County shut down the freemasons church over land rate arrears.