Skip to main content
Skip to main content

Maafisa tabibu wamshutumu Duale kwa kuchelewesha kumaliza mgomo

  • | Citizen TV
    596 views
    Duration: 3:02
    Mvutano kati ya maafisa tabibu na serikali umeendelea huku wakimlaumu waziri wa afya Aden Duale kwa kutokuwa na nia ya kutatua mgomo unaoendelea. Maafisa hawa wakimlaumu Duale kwa kushindwa kutia saini mkataba wa makubaliano. Hata hivyo, Duale amesema katu hatalazimishwa na yoyote akitaka wahudumu hao kurejea mezani kwa mazungumzo.