- 371 viewsDuration: 1:55Wakazi pamoja na wahudumu wa magari ya uchukuzi katika kaunti ya Busia wameshabikia kukamatwa kwa askari watano wa trafiki waliokuwa wakiwashurutisha madereva kutoa hongo katika kizuizi cha barabarani kilichoko kwenye barabara kuu ya Busia kwenda Kisumu.