Maafisa wa polisi Nakuru wadaiwa kuwaibia raia

  • | NTV Video
    3,775 views

    Maafisa wa polisi Nakuru sasa wadaiwa kuwaibia raia peupe tena mchana. Mfano ni David Ng'ang'a aliyeibiwa pikipiki yake Ijumaa usiku wiki iliyopita na alipoenda kuripoti tukio hilo kituoni aliwakuta waliomvamia wakiwa kwenye sare za kazi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya