Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wawili wa kaunti ya Trans Nzoia wakamatwa

  • | Citizen TV
    233 views
    Viongozi kutoka kaunti ya Trans Nzoia wanaitaka ya kutathmini utendakazi wa polisi (IPOA) kuchunguzi wa kina operesheni inayoendelea ya kunasa magenge ya wahuni katika eneo hilo. Viongozi hao wanadai kuwa operesheni hiyo haiendeshwi kwa mujibu wa sheria na kuwa inakiuka haki za kimsingi za wananchi. Na kama anavyoarifu Collins Shitiabayi, Maafisa wawili wakuu katika ofisi ya gavana wa kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya walikamatwa hapo jana kwa tuhuma za kuhusika na uhuni.