Maafisa wawili wa polisi wauwawa katika kaunti ya Mandera

  • | Citizen TV
    124 views

    Maafisa wawili wa polisi akiwemo raia mmoja wamefariki baada ya gari walimokuwa wakisafiria kukanyaga bomu lililokuwa limechimbiwa kwenye barabara ya Banisa kuelekea Rhamu katika eneo la Mandera.