3 Dec 2025 10:21 am | Citizen TV 142 views Duration: 2:21 Gavana wa Uasin Gishu Jonathan Bii, Daktari Andrew Toro wa wizara ya afya na mwasisi wa mbio za nyika za Chepsaita, Farouk Kibet , waliogoza hafla ya kambi ya matibabu ya bure katika shule ya msingi ya Chepkemel huko Turbo.