Skip to main content
Skip to main content

Maaskofu wa kanisa katoliki wamekemea uhuni unaoendelea kwenye mikutano ya kisiasa

  • | Citizen TV
    694 views
    Duration: 1:04
    Maaskofu wa kanisa katoliki wamekemea uhuni unaoendelea kwenye mikutano ya kisiasa. Maaskofu hao wanawashtumu viongozi kwa kuwatumia vijana kuzua vurugu mikutanoni wakionya kuwa hali hiyo ikiendelea itasababisha uhasama na mgawanyiko mkubwa nchini. Aidha wamewataka wanasiasa kukomesha matusi kwenye mikutano yao