Skip to main content
Skip to main content

Maaskofu wakemea siasa za uhuni, wataka hatua za kisheria kuchukuliwa

  • | Citizen TV
    2,228 views
    Duration: 3:02
    Maaskofu wa kanisa katoliki wameelezea wasiwasi wao kuhusu kuongezeka kwa visa vya wahuni kuvuruga mikutano na kuvamia makanisa. Maaskofu hao wametamaushwa na jinsi wahuni wanavyoendeleza uhalifu bila hatua zozote kuchukuliwa, wakisema inaonekana kama wanalindwa. Pia maaskofu hao wamekashifu matusi na wanasiasa kukoseana heshima.