Machifu watakiwa kuwatia mbaroni wanaouza vileo karibu na shule katika kaunti ya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    175 views

    Machifu na manaibu wao wametakiwa kuanzisha msako wa kuyafunga maduka ya kuuza vileo pamoja na kuwatia mbaroni wanaouza vileo karibu na shule, katika eneo la Trans Nzoia mashariki. Ni hatua inayolenga kuwakinga wanafunzi katika eneo hilo kutokuwa karibu na vileo.