Skip to main content
Skip to main content

Machifu watekeleza zoezi la kuwatafuta wanafunzi wa gredi 10

  • | Citizen TV
    249 views
    Duration: 2:21
    Machifu nchini wameanza zoezi la kuwatafuta wanafunzi wa gredi ya 10 ambao bado hawajajiunga na sekondari ya juu. Zoezi hili likiendelea huku wanafunzi wengi bado wakikwama nyumbani kwa kukosa uwezo wa kugharamia masomo yao