Skip to main content
Skip to main content

Madaktari nchini washinikiza serikali kutoa maelezo kamili kuhusu makubaliano ya Ebola na Marekani

  • | NTV Video
    1,443 views
    Mvutano mkali unaendelea kuibuka kufuatia mpango unaopendekezwa wa kuanzisha kituo cha karantini ya Ebola kinachodaiwa kufadhiliwa na Marekani katika kaunti ya Laikipia, huku madaktari nchini Kenya wakizidi kuishinikiza serikali kutoa maelezo kamili kuhusu makubaliano hayo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya