Madaktari waandamana Kenyatta, huduma za afya zatikisika kutokana na malalamiko ya uongozi

  • | NTV Video
    91 views

    Huduma za afya zilitatizika katika hospitali ya rufaa ya chuo kikuu cha Kenyatta, baada ya madktari na wafanyakazi wasaidizi kuandamana, wakilalamikia uongozi mbaya na mazingira duni ya afya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya