Skip to main content
Skip to main content

Maelfu wajitokeza kwa usajili wa polisi nchini

  • | Citizen TV
    3,768 views
    Duration: 2:48
    Zoezi la usajili wa makurutu wa polisi ulifanyika leo, ambapo maelfu ya wakenya walijitokeza katika vituo mbali mbali nchini. Hata hivyo, baadhi yao walilalamikia kile walichosema ni kanuni kali na kuitaka idara ya polisi kulegeza kamba ili kuwaajiri wakenya zaidi. Huku hayo yakijiri , inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja akisema zoezi hilo limekamilika bila tashwishi yoyote.