3 Dec 2025 1:31 pm | Citizen TV 181 views Duration: 1:20 Wasichana 100 kutoka baadhi ya vijiji vya Sekenani eneo bunge la Narok Magharibi wamepokea hamasa kuhusu usafi wa siku za hedhi pamoja na maadili katika jamii wakati wa likizo hii ndefu ya Desemba