Skip to main content
Skip to main content

Mafuriko Mukuru Kwa Njenga yaathiri familia zaidi ya 500

  • | Citizen TV
    13,357 views
    Duration: 3:44
    Familia zaidi ya 500 kutoka mtaa wa Mukuru Kwa Njenga, jijini Nairobi zimeathirika na mafuriko kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo. Wakazi hao wamelalamikia hasara waliopata baada ya mali yao kujaa maji huku wakieleza hofu ya mkurupuko wa magonjwa. Shughuli za usafiri pia zimetatizika katika barabara kadhaa jijini Nairobi kutokana na mvua hiyo. Wakazi wanahofia hasara zaidi kwani mvua inatarajiwa kuendelea kunyesha.