16 Apr 2026 10:10 am | Citizen TV 2,189 views Duration: 3:12 Saa chache baada ya bei mamlaka ya kudhibiti bei ya kawi na petroli - EPRA- kupandisha bei ya mafuta ya petroli kwa zaidi ya shilingi ishirini na nane, EPRA imetangaza kupunguza bei kwa shilingi 9.35 .