- 204 viewsDuration: 3:29Mitambo-70 ya kamari iliteketezwa na serikali ya kaunti ya Tharaka Nithi kwa lengo la kutokomeza mchezo huo. Maafisa wa kaunti na wale wa polisi waliharibu mitambo hiyo siku chache baada ya gavana wa kaunti hiyo kuagiza msako wa pamoja wa mitambo hiyo.Taarifa hii na nyingine ni kwenye dira ya kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive