Afisa mkuu anayesimamia kituo cha polisi cha Kabarnet Shamza Abedi, ametambuliwa na halmashauri huru ya kutathmini utendakazi wa polisi kwa jitihada zake za kukabiliana na pombe haramu na kuimarisha usalama mjini Kabarnet , kaunti ya Baringo. Kwa haya na mengine, ni kwenye mkusanyiko wa habari kutoka kaunti.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive