Skip to main content
Skip to main content

Magavana waishtumu serikali kwa kutowahusisha kwenye utekelezaji wa bima ya afya ya jamii ya SHA

  • | Citizen TV
    144 views
    Duration: 1:43
    Mwenyekiti wa baraza la magavana, Ahmed Abdullahi, ameishtumu wizara ya afya kwa kutoshirikiana na serikali za kaunti kwenye utekelezaji wa bima ya afya ya jamii - SHA. Wakizungumza huko naivasha, magavana wa wamesema wizara ya afya inaingilia majukumu ya serikali za kaunti na kuvuruga mpango wa sha kw akuchelewesha malipo kwa hospitali zinazotoa huduma za sha. Waziri wa afya aden duale hata hivyo, amesema kuwa wizara yake inaangazia upya mbinu ya kuongeza mgao wa fedha inazolipia.