Mahafala zaidi ya 400 wa chuo cha kiufundi cha Lamu na Mpeketoni wafunzu kwa taaluma mbalimbali

  • | Citizen TV
    141 views

    Mahafala zaidi ya 400 wa chuo cha kiufundi cha Lamu na Chuo cha kiufundi cha Mpeketoni wamefunzu kwa taaluma mbalimbali. Masomo yao yalifadhiliwa na serikali ya kaunti ya Lamu kwa ushirikiano na mashirika mengine ya kibinafsi.