Mahakama: Ushuru wa nyumba ni kinyume cha katiba

  • | Citizen TV
    3,937 views

    Mahakama kuu imebatilisha ushuru wa nyumba kwenye sheria ya fedha ya mwaka 2023. kwenye uamuzi ambao umetolewa na majaji David Majanja, Christine Meoli na Lawrence Mugambi , ushuru huo unakiuka katiba ya kenya na hivyo ni kinyume cha sheria