- 1,445 viewsDuration: 50sMainga alishtakiwa Kwa kupuuza amri ya mahakama kutokana na ubomoaji wa mali ya mfanyabiashara aliyewekeza eneo la railways. Mahakama hiyo pia imemuamuru inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja kufika mbele yake baada ya kukaidi amri ya kumkamata na kumwasilisha Mainga kortini