- 7,870 viewsDuration: 1:46Tume ya huduma za polisi haina uwezo kuwapandisha cheo wala kuwafuta kazi maafisa wa polisi. Huu ni uamuzi wa Jaji wa mahakama ya ajira Hellen Wasilwa aliyebatilishwa tangazo la tume ya huduma za polisi kuhusu usajili wa makurutu wa polisi