- 548 viewsDuration: 3:13Ni afueni kwa taasisi ya mafunzo ya kim baada ya mahakama kuu kutoa amri ya muda kusitisha hatua ya halmashauri ya elimu za kiufundi tveta kufunga taasisi hiyo na kubatilisha vyeti vya wanafunzi zaidi ya laki moja. Wakati huo huo, waziri wa elimu Migos Ogamba ameonekana kukinzana na uamuzi wa tveta akiwahakikishia maafala wa chuo hicho kuwa vyeti hivyo vinasalia halali.