Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yasitisha kwa muda uuzaji wa hisa za serikali Safaricom

  • | Citizen TV
    2,110 views
    Duration: 3:16
    Mahakama imeongeza kwa siku kumi zaidi amri ya kusimamisha uuzaji wa hisa za serikali katika kampuni ya safaricom, ili kufanya uamuzi wa iwapo kusitishwa huko kutaendelea au la. Hii ni baada ya walalamishi katika kesi hiyo kupinga uuzaji huo wakisema unaweza kuathiri mamilioni ya wakenya, kwa kuweka data zao hatarini. Pia wanadai kuwa kampuni hiyo hutumika katika ukusanyaji na usambazaji wa data za matokeo ya urais, na hivyo uuzaji wake unaweza kuathiri uwazi wa uchaguzi.