Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yatoa uamuzi kuhusu usimamizi wa mradi wa Maji ya Mutitu

  • | Citizen TV
    128 views
    Duration: 1:56
    Mahakama Kuu ya Nyeri imetoa uamuzi kuwa Mutitu Water Self-Help Group ndilo shirika halali linalomiliki na kusimamia Mradi wa Maji ya Mutitu, ikikamilisha mzozo wa miaka 15 kuhusu udhibiti wa mojawapo ya mifumo muhimu ya usambazaji maji ya jamii hiyo.