- 353 viewsDuration: 2:11Ni afueni kwa wakulima wa Kahawa kote nchini baada ya mahakama kuu ya Kerugoya kutupilia mpango wa malipo ya kahawa wa DSS uliopendekezwa Na serikali. Katika uamuzi wake Jaji Edward Muriithi ameelezea kuwa taasisi za serikali zilikosa kuhusisha wakulima wakati wa kuweka Sheria hizo.