Skip to main content
Skip to main content

Mahindi yavunwa kwa mara ya kwanza Galana-Kulalu

  • | KBC Video
    275 views
    Duration: 4:07
    Ndoto ya taifa hili ya kufanikisha mradi wa Galana Kulalu ili kuhakikisha kuna chakula cha kutosha nchini unaonyesha ishara ya ufanisi. Kwa mara ya kwanza, mahindi yanavunwa kwenye mradi huu chini ya ushirikiano wa sekta ya umma na ile ya kibinafsi, ikiashiria hatua kubwa kwa juhudi za serikali za kuhakikisha uwepo wa chakula cha kutosha pamoja na mabadiliko ya kiuchumi. Ripota wetu Ben Chumba ana taarifa hiyo kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive