Mahojiano Na Martha Karua: Atetea maandamano ya kupinga gharama ya maisha

  • | Citizen TV
    2,821 views

    Baada ya mihemko ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana ambapo alikuwa mgombea mwenza wa kinara wa muungano wa azimio la umoja One Kenya, Raila Odinga. Martha Karua alijipata kwenye mazingira ya upinzani dhidi ya serikali alipokuwa miongoni mwa walioongoza maandamano makubwa nchini kupinga gharama ya maisha. Na mwaka mmoja baada ya serikali ya William Ruto kuingia mamlakani, Martha Karua amezungumza nasi na mwanahabari wetu Sam Gituku alianza kwa kumuuliza endapo kuna chochote cha kufana kwenye uongozi wa Kenya Kwanza