- 14,589 viewsDuration: 2:39Baada ya kutekwa mara mbili na kulazimishwa kuingia katika biashara ya utumwa wa kingono, kupigwa, kunyanyaswa na kukumbwa na uraibu wa dawa za kulevya, maisha ya Isata Kamara yalidhihirisha changamoto zinazowakabili wanawake wengi vijana nchini Sierra Leone. Kwa miaka sita, timu ya Africa Eye ilifuatilia mapambano yake ya kuendelea kuishi. Uchunguzi huo umebaini simulizi inayofichua mzunguko wa umaskini, unyonyaji na uraibu unaoharibu maisha ya kizazi cha vijana. #SierraLeone #Africa #News #BBCAfricaEye #bbc Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw