Majambazi wavamia wakazi wa Riomoruri, Nyamira

  • | Citizen TV
    712 views

    Wakazi wa eneo la Riomoruri, Nyamira Kaskazini wanaishi kwa hofu kufuatia ongezeko la visa vya ujambazi katika kaunti hiyo. Majambazi walivamia boma moja usiku wa kuamkia ijumaa na kuwajeruhi watu wawili.