Skip to main content
Skip to main content

Makali ya njaa shuleni Kitui

  • | Citizen TV
    308 views
    Duration: 3:29
    Serikali imeanza mpango wa kusambaza chakula cha msaada kwa shule za sekondari 177 ambazo zimeathirika na njaa kaunti ya Kitui. Akizungumza wakati wa kusambaza chakula hicho katika eneo bunge la Kitui magharibi, waziri wa jinsia na utamanduni Hannah Cheptumo alisema kuwa mpango huu utasaidia kuinua hali ya masomo shuleni na afya kwa wanafunzi.