Skip to main content
Skip to main content

Makanisa yataka wanasiasa waweke maslahi ya Wakenya mbele mwaka mpya

  • | Citizen TV
    567 views
    Duration: 3:34
    Wakenya waliadhimisha jumapili ya mwisho ya mwaka huu kwa maombi na tafakari huku wakiwa na matumaini ya mwaka mpya wenye fanaka, kwao binafsi na kwa taifa. Viongozi wa makanisa wamewarai viongozi wa kisiasa kupunguza mabishano na upimanaji nguvu na badala yake kuweka mbele maslahi ya wananchi mwaka ujao.