Makasisi walalamika kuwa makanisa yamefungwa bonde la Malaso kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    108 views

    Muungano wa wachungaji na maaskofu Kaunti ya Samburu umevunja kimya Chake na kukashifu kudorora Kwa usalama eneo la Bonde la Malaso. Makasisi hao wanadai kuwa hatua yao imechochewa na kufungwa Kwa makanisa maeneo hayo. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.