Makundi ya wanaume na wanawake wawekeza ili kujiendeleza Busia

  • | Citizen TV
    188 views

    Wakazi katika eneo bunge la Nambale kaunti ya Busia wamejiunga kwa makundi ya kuwekeza fedha za kujiendeleza, ili kukabiliana na visa vya dhuluma za nyumbani zinazochangiwa na umasikini.