Mamia ya waathiriwa wa mafuriko wateseka kambini

  • | Citizen TV
    1,334 views

    Mamia ya waathiriwa wa mafuriko wanaoishi katika kambi zilizo shuleni wamesalia katika njia panda wasijue pa kwenda siku tatu kabla ya shule kufunguliwa. Baadhi yao wameilaumu serikali kwa kukosa kuwapa sehemu mbadala ya kuhamia licha ya kutoa ilani kwamba wahamishwe kabla ya wanafunzi kurejea shuleni kwa muhula wa pili jumatatu ijayo.