Mamia ya walimu wa KUPPET wanaendelea na maandamano yao kati kati ya mji wa Kisii wiki ya pili sasa.

  • | Citizen TV
    452 views

    Mamia ya walimu wa KUPPET wanaendelea na maandamano yao kati kati ya mji wa Kisii kwa wiki ya pili sasa. Walimu hao waliobeba mabango wanasema kwamba kamwe hawatarejea madarasani hadi matakwa yao yatimizwe. Maandamano hayo yalianza mwendo wa saa mbili asubuhi. Chrispine Otieno anangana nasi moja kwa moja na maelezo zaidi