Skip to main content
Skip to main content

Mamlaka zanasa tani 16 za ngozi za punda kando ya barabara ya Thika-Garissa

  • | NTV Video
    237 views
    Duration: 1:15
    Mamlaka zimefanikiwa kunasa tani 16 za ngozi za punda katika eneo la Kanyonyoo kando ya barabara kuu ya Thika-Garissa kufuatia operesheni kali iliyotekelezwa na kikosi cha mashirika mbalimbali ya usalama. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya