'Manchokifanya huu ndio utumishi wa dini"

  • | BBC Swahili
    7,548 views
    "Kazi hii mnayoifanya inapeleka ujumbe kwa wale waliojionesha kama watumishi wa dini lakini kwakweli ni watumishi wa ushetani au mambo mengine" Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelipongeza Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa wazo la kujenga kituo kwa ajili ya watoto wenye mahitaji maalumu na akieleza kuwa huo ndiyo utumishi wa dini. Rais Samia alikuwa katika harambee iliyoandaliwa na kanisa hilo kwa ajili ya kuchangisha fedha zitakazotumika kujenga kituo hicho eneo la Kitopeni wilayani Bagamoyo. #bbcswahili #tanzania #SamiaSuluhuHassan Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw