Maonyesho ya filamu ya Kalasha yaleta mapomaja waigizaji wa kampuni mbalimbali

  • | K24 Video
    51 views

    Maonyesho ya filamu ya tuzo za Kalasha yanayojumuisha watayarishaji wa kimataifa yameanza jijini Nairobi. Ujumbe wa mwaka huu ukiwa ni msisitizo wa watu kujivunia filamu zao za nyumbani huku watayarishaji wakipewa changamoto za kuangazia maudhui yanayolenga jamii zinazowazunguka.